Shows / Nukta the Podcast

Nukta the Podcast
Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.
Episodes
Nukta the PodcastVITA YA KUZUIA KIFO | Mabadiliko ya tabianchi yanavyotishia kutoweka jamii za asili Tanzania
Miaka 30 iliyopita ilikuwa ni rahisi kwa jamii za Wahadzabe kupata maji karibu na maeneo walipokuwa wakiishi. Licha ya kuishi milimani, wakati huo kulikuwa na…
Nukta the PodcastIfahamu Halloween, sherehe za kale zilizohusishwa na ulimwengu wa wafu
Kila ifikapo Oktoba 31, watu katika maeneo mbalimbali duniani, hususan Marekani huonekana wakiwa katika mavazi na vipodozi vya kutisha wakiadhimisha sherehe…
Nukta the PodcastMfahamu Fatma Karume mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar
Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97…
Nukta the PodcastHayati Magufuli, Rais Samia walivyoichonga historia ya Bwawa la Mwalimu Nyerere
Jumamosi, Agosti 22, 2026, Serikali iliandika historia kwa kuzindua rasmi Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uliopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. Mradi…

Nukta the PodcastUcheleweshaji vifaatiba unavyowatesa wenye ulemavu Bahi
Kwa miaka miwili mfululizo Richard Ndaga amekuwa akihudhuria hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma angalau kila mwezi kupigania afya ya mwanae…
Nukta the PodcastHizi ndizo Passport 5 zenye nguvu zaidi duniani
Umewahi kujikuta unatumia muda mrefu katika ofisi ya balozi ya nchi fulani ili kupata viza ? Basi fahamu kuwa baadhi ya watu duniani, usumbufu huo wanausikia…
Nukta the PodcastFIFA kuuza kipande cha nyasi uwanja wa fainali za kombe la dunia kwa Sh1 milioni
Mbio za fainali za Kombe la Dunia zinaendelea kuchanja mbuga huku mashabiki wa nyota wa soka Lionel Messi wakiendelea kutembea kifua mbele mara baada ya timu…
Nukta the PodcastMambo ya kuzingatia kabla kuwasha gari asubuhi
Je! Unafahamu kuwa asilimia kubwa ya watu wanaoharibikiwa magari yao na kutumia gharama kubwa kufanya matengenezo hutokana na kupuuzia dalili za tatizo husika…
Nukta the PodcastWanasoka 5 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani
Wakati macho ya dunia yakielekezwa kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026, vita kubwa haipo tu uwanjani katika kusaka ushindi, mabao na taji, bali pia nje ya…
Nukta the PodcastAHUENI BEI YA MAFUTA KUSHUKA
Huenda watumiaji wa vyombo vya moto nchini Tanzania wakashuhudia ahueni kiduchu mara baada ya bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Julai kushuka…
Nukta the PodcastWizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi mwaka wa fedha 2026/27
Wakati Bunge la 13 likikaribia kufunga shughuli zake, wizara 27 pamoja na Serikali Kuu zimehitimisha mchakato wa kuwasilisha na kupitisha bajeti zao, hatua…
Nukta the PodcastPart 1: Magari 10 yanayotumia mafuta kidogo
Huenda una ndoto ya kumiliki gari kali lenye muonekano wa kifahari, injini kubwa na nguvu barabarani. Pamoja na ndoto hiyo kubwa ila huna uhakika iwapo…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 6
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 5
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 4
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 3
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 2
SEHEMU YA 2| EPSODE 2. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMIMILIONI YA WATANZANIA MTANDAONI | EP 1
SEHEMU YA 1 | EPSODE 1. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini…
Nukta the PodcastAI: jinamizi lingine elimu ya juu Tanzania?
Katika episode hii ya Nukta the Podcast, tunajadili kwa kina namna teknolojia ya akili bandia (Artificial Intelligence – AI) inavyozidi kutumika katika vyuo…
Nukta the PodcastVITA YA MAJI ILIVYOLETA UMOJA KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA MOROGORO
Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa…
Nukta the PodcastHATARI INAYOUKABILI MTO NGERENGERE
Hujambo msikilizaji wa Nukta the Podcast, karibu katika mfululizo wa episode zetu maalumu zinazoangazia Usimamizi wa rasilimali maji pamoja na mazingira katika…
Nukta the PodcastWafahamu watu 10 tajiri zaidi duniani 2025
Ukuaji wa teknolojia umeendelea kuchochea ongezeko la utajiri duniani jambo ambalo limesababisha watu waliowekeza katika sekta hiyo kuendelea kujikusanyia…
Nukta the PodcastVITA YA MAJI ILIVYOLETA AMANI NA MSHIKAMANO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA KILOSA
Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa…
Nukta the PodcastSCRAMBLE FOR WATER RESOURCES
This is the part of the three episodes that we have produced after visiting several districts in Morogoro region, eastern Tanzania meeting with farmers…
Nukta the PodcastRestoration of Lake Manyara Tilapia remains an uphill duty
Join Daniel Samson to explore in detail about endangered Manyara Tilapia in Lake Manyara. Stocks of Manyara tilapias have plummeted to alarmingly low levels in…
Nukta the PodcastFrom sunlight to harvest: How solar energy brings hopes to farmers in Iringa
For decades, farmers in Lupembe Lwa Senga village in Iringa region had relied on the traditional farming system for their livelihoods. Apart from using hand…
Nukta the PodcastUPUNGUFU WA WALIMU SHULE YA MSINGI UNAVYOATHIRI ELIMU TANZANIA
Wakati watahiniwa zaidi ya milioni moja wa elimu ya msingi Tanzania Bara wakiwa wanasubiri hatma yao, baada ya kumaliza mitihani yao jana Septemba 14, 2023…
Nukta the PodcastElimu ya Veta inavyowainua walemavu wa akili Tanzania
Awali, ilikuwa ni vigumu kushuhudia watu wanaozaliwa na ulemavu wakipata huduma muhimu wanazozihitaji kama elimu, afya, pamoja na kushirikiana na wanajamii…
Nukta the PodcastMFAHAMU MBUNIFU WA MAJIKO YANAYOTUMIA MAWE TANZANIA
Nishati ya kupikia ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya binadamu duniani kote, hiyo ndio huwezesha mapishi ya aina mbalimbali za vyakula tunavyokula ili…
Nukta the PodcastJINSI MATAPELI WANAVYOTUMIA TAASISI YA MO FOUNDATION KUIBIA WATU
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Facebook huenda umewahi kukutana na chapisho linalohusu fursa ya mikopo kutoka kwenye taasisi ya mfanyabiashara bilionea…
Nukta the PodcastKWA NINI BANGI INALIMWA ZAIDI TANZANIA LICHA YA OPARESHENI KALI ZA DAWA ZA KULEVYA?
Mapema Agosti mwaka huu Serikali ya Tanzania ilitangaza kukamata magunia 131 ya bangi, kilo 120 za mbegu za bangi na kuteketeza jumla ya hekari 489 za mashamba…
Nukta the PodcastTeknolojia ya vifuu vya nazi itakavyo waokoa wachimbaji na madhara ya zebaki
Huenda wachimbaji wadogo wa madini Tanzania wakaepukana na athari za afya pamoja na uchafuzi wa mazingira ikiwa wataasili matumizi ya bidhaa mpya ya kusafishia…
Nukta the PodcastHizi ndio hifadhi tano kubwa za Taifa, Tanzania
Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamebarikiwa vivutio vingi vya utalii ambavyo sio tu vinapendezesha nchi bali ni chanzo kizuri cha mapato hususani…
Nukta the PodcastMVUVI MPAMBANAJI NDANI YA ZIWA VICTORIA
Ziwa Victoria ni moja ya maziwa makuu ya Afrika Mashariki. Ni ziwa ambalo lipo kwenye mstari wa ikweta na limezungukwa na nchi tatu zilizopo Afrika Mashariki…
Nukta the PodcastELIMU YA SAIKOLOJIA INAVYOWABEBA WATU WENYE UALBINO TANZANIA
Watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali unyanyapaa ikiwa miongoni, licha ya afua zinazoendelea kuchukuliwa…
Nukta the PodcastIfahamu zahanati iliyoanzishwa kwa mkopo wa halmashauri
Ni Zahanati ya Afya ya Jamii iliyopo Kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam ambayo ni ya kwanza katika kata hiyo. Vijana nane wametumia mkopo Sh100 milioni wa…
Nukta the PodcastMradi wa umemejua unavyowafaidisha wanavijiji Tanzania
Ni mradi wa jiko linalotumia mionzi ya umemejua kupikia vyakula mbalimbali. jiko hilo la aina yake limebuniwa na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ili kupunguza…
Nukta the PodcastWazazi wanavyopambana kuwapatia chakula wanafunzi shuleni Pangani
Salaaam msikilizaji wa NUKTA THE PODCAST karibu katika muendelezo wa makala zetu na leo tunasafiri hadi Wilayani pangani mkoani Tanga kumulika namna wazazi…
Nukta the PodcastZaidi ya Watanzania 500,000 kukumbukwa na uhaba wa chakula
Wakati baadhi ya Watanzania wakila na kusaza kiasi cha kutupa chakula, ripoti mpya ya usalama wa chakula na lishe Tanzania inakadiria kuwa kuanzia Mei 2022…
Nukta the Podcast“Show” ya kibabe iliyowakutanisha mastaa wa Afrika
‘Young, Famous & African’ au kwa kifupi unaweza kuita YFA, ni ‘reality show’ yaani imebeba uhalisia wa maisha ya wahusika. Natumaini katika pita pita zako…
Nukta the PodcastJukumu la kutunza mazingira ni la kila mtu
Utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ni njia mojawapo ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo mafuriko na ongezeko la joto.
Nukta the PodcastUkame ulivyowarudisha wafugaji kwenye umaskini Tanzania
Mwaka 2021 unavyoanza alikuwa ana matumaini lukuki kuwa ng’ombe wake aliokuwa nao wangechangia kwa kiwango kikubwa kumuongezea kipato na kumtoa katika…
Nukta the PodcastMbinu zitakazosaidia kudhibiti taka za baharini
Kudhibiti uchafuzi wa bahari Serikali na wadau wanasema taasisi za utafiti na viwanda zinahitaji kufanya kazi kwa ushirikiano ikiwemo kuimarisha mifumo ya…
Nukta the PodcastGharama kubwa zinavyorudisha nyuma jitihada za kuokoa mazingira Wilaya ya Kibaha
Baada ya kubaini faida na urahisi wa kutumia nishati ya gesi kupikia, mwalimu wa moja ya shule za sekondari wilayani Kibaha aliamua kuchukua hatua. Alianza…
Nukta the PodcastChangamoto zinapokuletea fursa
Ni filamu ya "Fine Wine", inayomuhusu mwanadada Kaima anayepitia changamoto katika mahusiano. Licha ya uzuri na ‘usmati’ alionao binti huyu, mahusiano yake na…
Nukta the PodcastTaka za kielektroniki zinavyotafuna mazingira ya Tanzania
Hakuna mifumo mizuri ya kutupa taka za kielektroniki nchini Tanzania kama ilivyo kwenye nchi zilizoendelea hivyo suluhu kubwa iliyopo ni kuzitupa kama taka…
Nukta the PodcastThe Last Royal Treasure: Filamu ya kuchangamsha wikiendi yako
Filamu ya ‘The Last Royal Treasure’, inahusu kundi moja la maharamia au kwa Kiingereza wanafahamika kama pirates. Meli yao imebeba watu ambao wana historia…
Nukta the PodcastChangamoto zinazorudisha nyuma urejelezaji taka Tanzania
Ukosefu wa elimu ya udhibiti wa taka hasa plastiki, sera na sheria zinazosimamia mazingira zimetajwa na wadau wa mazingira kuwa zinaweza zikachelewesha safari…
Nukta the PodcastChupa za plastiki za vinywaji vya kuongeza nguvu zinavyochocheo uharibifu wa mazingira
Kuzagaa kwa chupa za plastiki za rangi zinazotumika kuhifadhia vinywaji vya kuongeza nguvu katika mitaa mbalimbali nchini Tanzania hasa jijini Dar es Salaam…
Nukta the PodcastMagugu maji yanavyowatesa watumiaji wa Ziwa Victoria
Kuendelea kuwepo kwa magugu maji katika Ziwa Victoria kumeibua kadhia mbalimbali kwa watumiaji wa ziwa hilo wakiwemo wavuvi na wamiliki wa boti na meli kwa…
Nukta the PodcastSimulizi ya Mtaa unaomezwa na maji ya Ziwa Victoria
Ni Mtaa wa Ziwa mkoani Mwanza ambao umeharibiwa huku nyumba za wakazi wake zikizama kwenye maji baada ya kina cha maji cha Ziwa Victoria. Kuongeza kwa kina cha…
Nukta the PodcastMashaka ya maumbile yanavyozuia penzi la kweli
Kwa maringo na mikogo ya Roxanne, unaweza kuhisi ni wa kishua au ana kila kitu lakini huwezi amini, na urembo wake wote alionao, anadaiwa kodi ya pango na kila…
Nukta the PodcastFilamu ya Brazen: Maandishi yanayomuwinda mwandishi wa vitabu
Filamu ya “Brazen” inamuhusu mwanamama Grace Miller ambaye ni nyota maarufu wa vitabu vya simulizi nchini Marekani ambaye maandishi yake yanaanza kugeuka…
Nukta the PodcastKifahamu kisa cha kuumiza kinachoihusu kampuni ya Gucci
Patrizia anavutiwa na kijana mmoja anaekutana naye kwenye party hiyo. Unaweza kuelezea hisia alizo nazo kama mtu kupata msamaha wa deni la timiza au kuwa zamu…
Nukta the PodcastFilamu: Dunia inampatia mwanamfalme nafasi ya kuchagua kati ya nchi yake na huba.
Izzy anajikuta akivunja kibubu chake alichojitunzia kwa muda mrefu kwa ajili ya kusafiri sehemu mbalimbali duniani.
Nukta the PodcastUtafanya nini pale ndoto yako inapokuingiza matatani?
Siku moja Bom akiwa katika shughuli za kikazi, anaona wafanyakazi wenzie wawili wanapigana, lakini anaposogea kwa karibu anakutana na kitu tofauti. Mfanyakazi…
Nukta the PodcastIfahamu filamu ‘inayotrend’ kwenye mitandao ya Kijamii Tanzania
Changamoto za mahusiano, malezi, umaskini na mategemeo zote zimeelezewa kupitia wahusika wanne: Tumaini, Angel, Stella pamoja na Rose.
Nukta the PodcastSafari ya ndugu waliopotezana kutafuta ukweli wa wazazi wao
Filamu hii inawahusu mabinti watano ambao kwa mara ya kwanza wanakutana katika moja ya hoteli iliyopo Cancun mjini Mexico.
Nukta the PodcastKumpoteza mtu umpendaye ni mwanzo wa safari mpya
Filamu hii inamleta tena Buster Moon, mdau wa sanaa za maonyesho ambaye kutengeneza show ya muziki inayoweza kukusanya sayari zote ni kitu kidogo sana.