Shows / Nukta the Podcast

Nukta the Podcast
Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.
Episodes
Nukta the PodcastA Naija christmas : Filamu ya kuchangamsha siku kuu yako.
Filamu hii inahusu familia ya Madam Agatha, singo mother mwenye vijana wa kiume watatu Chike, Obi, na Ugo.
Nukta the PodcastFilamu ya king’s affection: Majukumu yanavyobadilisha jinsia
Filamu hii inaturudisha nyuma enzi hizo wakati nchi ya Joeson haijaitwa Korea. Katika kipindi hicho, Mwana mfalme mteule au “crown prince” Anatarajia mtoto…
Nukta the PodcastItakuwaje ikiwepo sayari ya wanaume peke yao?
Ni filamu inayomhusu mwanadada ambaye anajikuta katika sayari iliyo na wanaume tu baada ya kupata ajali.
Nukta the PodcastHuyu ndiye mwanamke shujaa wa Afrika
Historia ya malkia huyu inatufanya turudi nyuma miaka 500 iliyopita, ambapo Amina akiwa ni ‘princess’ mdogo mwenye ujasiri na kipenzi cha baba yake.
Nukta the PodcastFilamu ya ‘Red Notice’: Kikulacho ki nguoni mwako
Filamu ya “Red Notice”, ipo kutukumbusha kuwa makini na wale wageni wanaogonga kwenye milango ya mioyo yetu na kutufanya tuone kuwa dhamira zao juu yetu ni za…
Nukta the PodcastFilamu ya “No Time To Die”: Mashaka yaliyojaa majuto
Bahati ya mapenzi siyo ya wote, Wakati Adamu akikutana na Hawa kwa urahisi, wengine ni Samson wanaoishia na Delila. Samson wa leo ni James Bond almaarufu kama…
Nukta the PodcastPesa zilivyoweka rehani maisha ya vijana watano
Ni katika filamu ya Filamu ya the Army of Thieves inayohusu kikundi cha wezi waliobobea kuibia mabilionea
Nukta the Podcast“My Name” Filamu ya kuchangamsha wikiendi yako
Katika filamu hii ya “My name”, yaani jina langu, tunakutana na binti mrembo Yoo Ji Woo, ambaye katika maisha yake amekuwa akilelelewa na baba yake tu. Kwa…
Nukta the PodcastMfahamu ‘single mother’ mpambanaji wa filamu ya Maid
Clean Bandit hawakukosea walipoimba kibao Cha Rockabye, ambacho kinaelezea jinsi single mothers wengi wanavyopambana kwa hali na mali ili kuwalea watoto wao.
Nukta the PodcastWanawake na safari ya ushiriki maendeleo Kigoma
Ushiriki wa wanawake katika maendeleo ya kata zao umechangia kuwepo kwa huduma muhimu za kijamii ikiwemo shule.
Nukta the PodcastWema unaosukuma maendeleo ya elimu Tanzania
Kutana na watu wanaochangia maendeleo ya elimu Mkoani Kigoma kwa kuwasaidia wanafunzi kuvuka mto ambao umekuwa kikwazo cha elimu Mkoani humo.
Nukta the PodcastMaisha ya ahueni baada ya Teleza
Teleza ni wahalifu waliokuwa wanajipaka mafuta mwilini au oili na kuwabaka wakina mama mkoani kigoma.
Nukta the PodcastMatumaini mapya baada ya ujenzi wa shule kukwama Kigoma
Endapo serikali itachelewa kukamilisha mradi wa shule hii, huenda ikachangia kwa wananchi kukata tamaa ya kujitoa kwenye shughuli za maendeleo.
Nukta the PodcastUtafanya nini iwapo hakuna anayekuamini tena?
Ni filamu ya “The Last Duel”, inayohusu kufa kwa uaminifu kati ya Marguerite na watu wake wa karibu
Nukta the PodcastFilamu ya The Squid Game: Tamaa mbele mauti nyuma
Uchambuzi wa filamu ya ‘The Squid Game’ inakukutanisha na watu wanaofanya maamuzi magumu baada ya maisha yao kutokuwa na ahueni kila uchao, huku mmoja wapo…
Nukta the PodcastSaa 24 za kummaliza rafiki aliyegeuka kuwa adui
Filamu ya Kate inamhusu mwanadada ambaye hajawahi kufaidi mapenzi ya baba na mama, kwani waliomleta duniani walifariki akiwa bado ni mtoto.
Nukta the PodcastWananchi wanaopambana kuokoa maisha Geita
Ni kupitia ujenzi wa zahanati ambazo zitatumika kufanya matibabu ya wakazi wa mkoa huo.
Nukta the PodcastWakazi wa Geita wanavyopambana na kung'oa ujinga
Kutana na juhudi za Wanageita wanavyopambana kung'oa ujinga kwenye mkoa wao
Nukta the PodcastUshirikishwaji ulivyowainua wanawake Geita
Kutana na Rebecca Makenza, Mwanamke anayehamasisha ushiriki wa wanawake kwenye maendeleo.
Nukta the PodcastUkatili wa kijinsia sokoni ulivyokomeshwa Dar
Ili kukomesha ukatili wa wanawake kwenye masoko, sheria zimetengenezwa ili kuadhibu yeyote anayefanya udhalilishaji wa kijinsia.
Nukta the PodcastVita ya baba na mtoto inayoacha alama kwenye familia
Huzuni, hasira na majuto yanamfanya Wenwu kuchochea moto wa kisasi huku kuni yake akiwa ni mtoto wake , Shang Chi.
Nukta the PodcastHulka ya upole inapobadilika kuwa umafia
Filamu hii ya “The Devil Judge” yaani hakimu shetani inakukutanisha na hakimu ‘mtata’ kuwahi kutokea katika ardhi ya wana filamu.
Nukta the PodcastZahanati itakayookoa maisha ya maelfu ya wanawake, watoto Geita
Wakazi wa kijiji cha Isebya mkoani Geita wamejenga zahanati itakayopunguza vifo vya watoto na wajawazito wanaosafiri zaidi ya kilomita 5 kufuata huduma za afya…
Nukta the PodcastKisasi kinavyogeuka kuwa safari ya penzi jipya
Ni filamu ya The Protege, inamhusu mwanadada ambaye waovu wamemaliza familia yake.
Nukta the PodcastPenzi linavyovunja mnyororo wa maisha
Inamhusu mwanababa anayelazimika kubadili maisha yake baada ya mrembo kupita machoni kwake.
Nukta the PodcastThe Suicide Squad: Filamu ya waovu wanaobaki tumaini dunia
Pale Superman anapokufa, ulimwengu unabaki bila shujaa wa kumtegemea. Lakini Afisa wa Intelijensia nchini Marekani, Amanda Waller anaishawishi Serikali…
Nukta the PodcastFilamu ya safari ya kuutafuta mti unaofufua waliokufa
Kama ulimmiss The Rock na filamu zake za “adventure”, hii itakufaa. Ukiitazama, tupe mrejesho wa kiasi ulichofurahia.
Nukta the PodcastFilamu ya Black Widow: Sababu kwanini usikimbie matatizo yako
Baaada ya kumwona katika hadithi ambazo alikuwa tayari katika mafanikio, Natasha Romanoff sasa anakuja na historia yake katika filamu ya Black Widow.
Nukta the PodcastHii ndiyo maana halisi ya rafiki: Filamu ya Luca
Safari ya marafiki wawili inapoingia vikwazo na vizingiti, havitoshi kukakatisha ndoto zao.
Nukta the PodcastLupin II: Filamu inayoelezea mwanzo wa uhalifu wa kitanashati
Katika sehemu ya kwanza, mtoto wa Assane Diop, Raoul alitekwa na Leonard ambaye ni kibaraka wa bilionea Hubert Pellegrini ikiwa ni mtego wa kumvuta Assane…
Nukta the PodcastFilamu: “Uongo” unapobaki tumaini la kuukomboa ulimwengu
Loki ambaye amecheza na mpangilio wa muda analazimika kulipia makosa yake lakini mambo yanageuka pale anapobaki tumaini pekee la ulimwengu.