skinny.

Latest / Nukta the Podcast

Ucheleweshaji vifaatiba unavyowatesa wenye ulemavu Bahi

Kwa miaka miwili mfululizo Richard Ndaga amekuwa akihudhuria hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma angalau kila mwezi kupigania afya ya mwanae.

Ndaga ana mtoto wa kiume (2) mwenye ulemavu wa miguu na mikono ambaye anahitaji kunyooshwa viungo ili virejee katika hali ya kawaida.

Safari ya Ndaga, baba wa watoto watano, si ya kupenda. Yeye ni miongoni mwa mamia ya wazazi, walezi na watu wenye ulemavu nchini wanaolazimika kutembea umbali mrefu kusaka kusaka huduma ya kurekebishwa viungo.

Kitaalamu, watoto na watu wazima wenye ulemavu au matatizo ya viungo hutakiwa kupewa huduma za…

The skinny

The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.