skinny.

Latest / Nukta the Podcast

Wanasoka 5 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani

Wakati macho ya dunia yakielekezwa kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026, vita kubwa haipo tu uwanjani katika kusaka ushindi, mabao na taji, bali pia nje ya uwanja ambako nyota wa soka wanaendelea kuvuna mabilioni ya fedha kupitia mishahara, bonasi na mikataba ya matangazo.

Kwa mujibu wa jarida la Forbes la nchini Marekani, wachezaji 11 wanaoshiriki Kombe la Dunia la mwaka huu wameingiza kwa pamoja kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 950 ambazo kibongo bongo ni zaidi ya Sh2.4 trilioni ndani ya miezi 12 iliyopita, lakini kati yao, wapo watano wanaotawala kilele cha fedha na umaarufu…

The skinny

The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.