skinny.

Latest / Nukta the Podcast

FIFA kuuza kipande cha nyasi uwanja wa fainali za kombe la dunia kwa Sh1 milioni

Mbio za fainali za Kombe la Dunia zinaendelea kuchanja mbuga huku mashabiki wa nyota wa soka Lionel Messi wakiendelea kutembea kifua mbele mara baada ya timu wa taifa ya Argentina kufanikiwa kumng’oa mwingereza kwa bao moja kwa mbili kwenye hatua ya nusu fainali.

Hata hivyo kivumbi na jasho kinatarajiwa kuonekana siku ya Jumapili Julai 19, 2026 ambapo kidume wa mashindano haya makubwa zaidi ya michezo duniani atakwenda kuonekana baada ya dakika 90 za mtanange kati ya Argentina na Hispania kutamatika katika dimba la New York New Jersey nchini Marekani.

Mchezo huu wa fainali hauendi tu kuwa…

The skinny

The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.