
Hayati Magufuli, Rais Samia walivyoichonga historia ya Bwawa la Mwalimu Nyerere
Jumamosi, Agosti 22, 2026, Serikali iliandika historia kwa kuzindua rasmi Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uliopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. Mradi huo una uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme na umegharimu zaidi ya Sh7.7 trilioni.
Hata hivyo, nyuma ya furaha na shamrashamra zilizoambatana na uzinduzi wa mradi huo kuna safari ndefu iliyochukua zaidi ya karne moja. Safari hiyo imepitia vipindi mbalimbali vya historia ya Tanzania na chini ya uongozi wa marais watano, huku ikipata msukumo mkubwa zaidi wakati wa uongozi wa Hayati John Magufuli na Rais Samia Suluhu Hassan.
Ili…
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.