
Mambo ya kuzingatia kabla kuwasha gari asubuhi
Je! Unafahamu kuwa asilimia kubwa ya watu wanaoharibikiwa magari yao na kutumia gharama kubwa kufanya matengenezo hutokana na kupuuzia dalili za tatizo husika au kutofanya uchunguzi wa gari yake mara kwa mara?Huenda nawe ni miongoni mwa wasiojua nini wanatakiwa kufanya kabla ya kuwasha gari, oondoa shaka. Kupitia makala haya utaweza kufahamu ni nini hasa unatakiwa kufanya kabla ya kuwasha gari yako jambo ambalo litakuepusha na matengenezo ya gharama kubwa au kupoteza kabisa chombo chako cha usafiri.
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.