
Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi mwaka wa fedha 2026/27
Wakati Bunge la 13 likikaribia kufunga shughuli zake, wizara 27 pamoja na Serikali Kuu zimehitimisha mchakato wa kuwasilisha na kupitisha bajeti zao, hatua inayoweka msingi wa kuanza kwa mwaka mpya wa fedha 2026/27
Wizara hizo zilianza rasmi kuwasilisha bajeti zao Aprili 1, mwaka huu na kuhitimisha Juni 2, 2026, ikifuatiwa na Bajeti Kuu ya Serikali iliyoidhinishiwa Sh62.33 trilioni Juni 11,2026 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo.
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.