
AHUENI BEI YA MAFUTA KUSHUKA
Huenda watumiaji wa vyombo vya moto nchini Tanzania wakashuhudia ahueni kiduchu mara baada ya bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Julai kushuka kulinganisha na ile iliyokuwa ikitumika mwezi Juni.
Taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Julai Mosi, 2026 inabainisha kuwa bei hizo zimepungua kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia.
Kushuka kwa bei hizo kutaifanya bei ya rejareja ya mafuta yanayopitia Bandari ya Dar es Salaam kuuzwa Sh3,990 kwa lita moja ya petroli, dizeli Sh4,182 na mafuta ya taa kwa Sh4,443.
Kwa…
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.