
Hizi ndizo Passport 5 zenye nguvu zaidi duniani
Umewahi kujikuta unatumia muda mrefu katika ofisi ya balozi ya nchi fulani ili kupata viza ?
Basi fahamu kuwa baadhi ya watu duniani, usumbufu huo wanausikia TikTok. Pasipoti zao zinatosha kuingia katika nchi mbalimbali.
Pasipoti ni hati ya kusafiria ambayo humwezesha raia wa taifa moja kuingia taifa lingine kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kazi, biashara, utalii au hata kula bata tu.
Licha ya kumiliki pasipoti, nchi mbalimbali humuhitaji msafiri kupata viza katika ubalozi wa nchi husika ili apate kibali cha kuingia katika nchi hiyo.
Kadiri idadi hiyo inavyoongezeka, ndivyo pasipoti hiyo…
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.