
Mfahamu Fatma Karume mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar
Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ametangaza taarifa za msiba huo usiku wa kuamkia leo Septemba 22, 2026 akieleza kuwa Mama Fatma alifariki dunia akiwa Mbweni, Zanzibar.
Katika salamu zake za rambirambi, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Mama Fatma alikuwa sehemu muhimu ya historia ya Zanzibar, hususan katika harakati za kupigania uhuru, Mapinduzi ya Zanzibar na kuasisiwa kwa Jamhuri ya Muungano wa…
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.