
Ifahamu Halloween, sherehe za kale zilizohusishwa na ulimwengu wa wafu
Kila ifikapo Oktoba 31, watu katika maeneo mbalimbali duniani, hususan Marekani huonekana wakiwa katika mavazi na vipodozi vya kutisha wakiadhimisha sherehe maarufu zinazojulikana kama Halloween.
Lakini ushawahi kujiuliza, sherehe hii ilianzia wapi, maana yake nini na kwa nini mavazi ya kutisha yamekuwa sehemu muhimu ya maadhimisho yake?
Kwa mujibu wa Maktaba ya Congress ya Marekani, historia ya Sherehe za Halloween ilianzia katika karne ya pili kabla ya Kristu, katika sherehe za kale za watu wa zamani waliokuwa wanajulikana kama Waselti.
Katika kipindi hiko ambacho ni zaidi ya miaka 2000…
The skinny
The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.