Shows / MAELEZO PODCASTS

MAELEZO PODCASTS
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
Episodes
MAELEZO PODCASTSJihan Dimack na Safari Yake Hadi Ushindi wa Miss Grand International 2026
Exclusive Interview na mshindi wa taji la Miss Grand International, Mtanzania Jihan Dimack kuhusu mwanzo wa safari yake kwenye mashindano ya urembo, mafunzo ya…
MAELEZO PODCASTSUtafiti Kuhusu Kiwango cha Pombe na Athari Katika Moyo
Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Richard Kisenge kuhusu ushiriki wa JKCI katika michuano ya AFCON…
MAELEZO PODCASTSSimulizi ya Mpiga Picha Aliyefanya Kazi na Marais Wote Tanzania
Mazungumzo na Mzee Hokororo, Mtumishi Mstaafu wa Idara ya Habari-MAELEZO anayesimulia historia ya Idara, safari ya sekta ya habari nchini mpaka kuanzishwa kwa…
MAELEZO PODCASTSHuduma ya Mama Kujifungua Bila Maumivu Yaanza Kutolewa Tanzania
Dkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia…
MAELEZO PODCASTSFursa za Kimawasiliano Zilizopo Nchini Hivi Sasa
Mzungumzo na Mhandisi Asajile John kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu hatua iliyopigwa na Tanzania kimawasiliano, fursa za kimtandao zilizopo…
MAELEZO PODCASTSSi kila mtu au kila mahali unaweza kurusha droni, kwa nini?
Mazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za…
MAELEZO PODCASTSJe, Tanzania atahodhi mchezo gani AFCON, Ufunguzi au fainali?
Mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa…
MAELEZO PODCASTSTahadhari ya Mvua za El Niño Kuanzia Oktoba, 2026
Kufuatia tahadhari iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Nino, kupitia Maelezo Podcast ili kupata ufafanuzi…
MAELEZO PODCASTSAina Tatu za Saratani Zinazoathiri Maisha ya Wengi Nchini.
Katika kujenga uelewa kuhusu ugonjwa wa saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya…
MAELEZO PODCASTSChangamoto ya Afya ya Akili, ni Akina Nani Waathirika Zaidi?
Kupitia Maelezo Podcast tunajadili kuhusu afya ya akili kwa kumualika Daktari Veronica Lyimo, Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili kutoka Taasisi ya Afya ya…
MAELEZO PODCASTSKwanini ni marufuku kutunza kwa kutupa fedha chini?
Mazungumzo na Bw. Atufigwege Mwakabalile, Afisa Mwandamizi wa Benki kutoka Benki Kuu Tanzania (BOT) kuhusu sheria ya fedha nchini na marufuku iliyotilewa ya…
MAELEZO PODCASTSSheria ya Kuasili Mtoto (Child Adoption) Tanzania
Kupitia MAELEZO PODCASTS leo tunazungumza na Bi. Ludovicka Samare, Afisa Ustawi Mwandamizi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, anatupitisha kwenye utaratibu…
MAELEZO PODCASTSElimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji
Mazungumzo na Imani Mhingo, Mtaalamu wa Elimu ya Fedha na Mitaji ya dhamana kutoka Benki ya CRDB kuhusu elimu ya hisa; nani anatakiwa kuwa na hisa? uvumi upi…
MAELEZO PODCASTSTiba ya Upandikizaji wa Uume kwa Wanaume
Dkt. Rugakingira kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha kwenye huduma hii iliyojizolea umaarufu ya upandikizaji wa uume kwa wanaume wenye…
MAELEZO PODCASTSUkweli Kuhusu Faida za Vyama vya Ushirika
Mazungumzo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika kutoka Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw. Florian Haule kuhusu ushirika na ukweli wake vile…
MAELEZO PODCASTSFursa kwa Watanzania Kuelekea AFCON 2027
Kuelekea Michuano ya AFCON 2027 ambayo Tanzania anatarajiwa kuwa mwenyeji wa michuano hii mikubwa Barani Afrika, tumemualika Bw. Allan Allex, Afisa Michezo…
MAELEZO PODCASTSSiri ya Tarehe 7 Julai na Historia ya Tanzania Iliyowafanya UNESCO kuichagua kuwa Siku ya Kiswahili Duniani
Mazungumzo na Profesa Rehema Erasto., Mhadhiri wa Kiswahili kutoka Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dodoma kuhusu historia ya siku ya Kiswahili Duniani…
MAELEZO PODCASTSKwanini Kongamano la Kiswahili Ufaransa na si kwingine? Majibu ya Msemaji Mkuu wa Serikali
Gerson Msigwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo; na Msemaji Mkuu wa Serikali akitoa majibu ya ni kwanini Kongamano la Kiswahili la…
MAELEZO PODCASTSKuelekea Kongamano la Pili la Kiswahili la Kimataifa, Paris - Ufaransa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) inatarajia kufanya…
MAELEZO PODCASTSFursa, Ushirikiano kati ya Algeria na Tanzania: Balozi Matinyi
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akizungumza mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho wa kibalozi kwa Mheshimiwa Abdelmadjid Tebboune, Rais wa Jamhuri…
MAELEZO PODCASTSBalozi Kombo Aeleza Umuhimu wa Ziara ya Rais Samia katika Kuimarisha Mahusiano ya Tanzania na Urusi
Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi katika…
MAELEZO PODCASTSMiaka 10 ya BMH: Jinsi Hospitali ya Benjamin Mkapa Ilivyobadilisha Huduma za Kibingwa Tanzania
Hospitali ya Benjamin Mkapa ni hospitali ya rufaa ya kanda iliyopo jijini Dodoma, iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa ambazo kwa sasa zipo 20…
MAELEZO PODCASTSHotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 (Mei 4, 2026)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Mei 4, 2026…
MAELEZO PODCASTSHotuba ya Mhe. Rais Samia na Mhe. Rais, Paul Kagame, Mei 03, 2026
Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, amefanya ziara ya siku moja nchini Tanzania, akizungumza na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt…
MAELEZO PODCASTSHotuba ya Rais, Dkt. Samia Kwenye Kongamano la Biashara Baina ya Tanzania na Kenya, Mei 4, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya (Tanzania & Kenya Business…
MAELEZO PODCASTSElimu kuhusu ugonjwa wa Seli Mundu na Dkt. Catherine Mhando
Pata ufahamu sahihi kuhusu chanzo, dalili, matibabu pamoja na kinga ya ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) na Dkt. Catherine Mhando wa Hospitali ya Benjamin…

MAELEZO PODCASTSElimu kwa umma kuhusu zoezi la SENSA YA WATU NA MAKAZI (2022)
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ni kwa ajili ya mipango jumuishi na maendeleo endelevu ya nchi na yataongeza uwazi katika kugawa rasilimali…