skinny.

Latest / MAELEZO PODCASTS

Simulizi ya Mpiga Picha Aliyefanya Kazi na Marais Wote Tanzania

Mazungumzo na Mzee Hokororo, Mtumishi Mstaafu wa Idara ya Habari-MAELEZO anayesimulia historia ya Idara, safari ya sekta ya habari nchini mpaka kuanzishwa kwa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na safari yake ya umahiri katika upigaji picha iliyomuwezesha kufanya kazi na marais wa awamu tofauti kuanzia Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi awamu ya sita.

Support the show

Msemaji Mkuu wa Serikali

The skinny

The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.