skinny.

Latest / Muziki Ijumaa

Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati

Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.

Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu.

Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la Kool & The Gang wimbo uliogeuka kuwa nembo ya sherehe duniani kote, ukiwahamasisha watu kusahau huzuni na kusherehekea maisha.

Kutoka hapo tunatua Karibiani kupitia “Jamaica Farewell” wa Don…

The skinny

The skinny isn't ready yet — notes appear once the transcript is processed.